
MWAMBA HUYU ATAMBULISHWA SIMBA
KIUNGO mkabaji Augustine Okejapha ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba kwa ajili ya kupata changamoto mpya kwa msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti. Nyota huyo ni raia wa Nigeria anatarajiwa kuwa kwenye changamoto mpya kwa msimu wa 2024/25 ndani ya Simba. Julai 5 2024 Simba ilimtambulisha kocha mpya ambaye ni Fadlu Davis ambaye atafanya kazi na…