
MWAMBA FEI KAFUNGUA AKAUNTI YA MABAO
KIUNGO Feisal Salum amefunga bao la kwanza msimu wa 2024/25 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold uliochezwa Oktoba 25 2024 waliposepa na pointi tatu mazima kwenye mchezo huo. Mchezo huo jumla mabao matano yalifungwa ambapo mwamuzi alikuwa Ahmed Arajiga aliamua mapigo mawili ya penalti mojamoja kwa kila timu kutokana na wachezaji…