MWAMBA ADEBAYO APEWA TUZO YA MVP

MSHAMBULIAJi mpya wa Singida Black Stars Victorien Adebayo amepewa tuzo ya ufungaji bora na mchezaji bora, (MVP) kutokana na uwezo alionao ndani ya uwanja kwenye kucheka na nyavu.  Mshambuliaji raia wa Nigeria alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Simba kwa muda mrefu mpango huo umekwama na mwisho yupo Bongo akiwa Klabu ya Singida Black Stars…

Read More

SITA WA SIMBA WAITWA TIMU ZA TAIFA

MASTAA sita wa Simba inayoongoza Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 wameitwa kwenye majukumu yao ya timu ya taifa kwa ajili ya kuwania kufuzu AFCON 2025. Ipo wazi kwamba Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwenye mechi mbili za ligi ambazo ni dakika 180 imekomba jumla ya pointi sita na safu ya ushambuliaji imefunga…

Read More

AZAM FC WANAANZA KAZI BONGO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo wanafungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya JKT Tanzania. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Azam FC iligotea nafasi ya pili na kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo imegotea hatua ya awali. APR ya Rwanda…

Read More

YANGA HESABU ZIMEHAMIA HUKU SASA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wamebainisha kuwa mpango mkubwa ni kupata matokeo kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Kagera Sugar. Huo utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Yanga inayonolewa na Gamondi ambaye alikuwa katika kikosi msimu wa 2023/24 na kushuhudia timu ikigotea nafasi ya kwanza na…

Read More

MZEE WA WAA BADO ANA KIBARUA KIZITO SIMBA

STARAIKA refu kuliko goli ndani ya Simba, Steven Mukwala ana kibarua kizito ndani ya Simba kufunga mabao mengi ili kuongeza hali ya kujiamini kutokana na mwendo ambao ameanza nao kuwa wakusuasua katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba nyota huyo haufunga kwenye mechi tatu mfululizo za ushindani ilikuwa Ngao ya Jamii…

Read More

SIMBA QUEENS YAPOTEZA KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimatafa Simba Queens wamepoteza mchezo wa nusu fainali kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Kenya Police Bullets uliochezwa Uwanja wa Abebe Bikila, Ethiopia. Simba Queens ilikuwa inachuana kuwania tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao kupitia kwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa). Kupoteza kwenye…

Read More

CHAMA KALIAMSHA BALAA UPYA HUKO

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga, Clatous Chama ameliamsha balaa upya kutokana na mwendelezo wake wa ubora kwenye anga la kimataifa ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Chama amekuwa gumzo kwa kuwa kwenye mchezo dhidi ya Vital’O uliochezwa Uwanja wa Azam Complex waliposhinda mabao…

Read More

MRITHI MIKOBA YA MICHAEL FRED MAMBO SAFI SIMBA

RASMI Simba haitakuwa na nyota wao Michael Fred ambaye alikuwa kwenye kikosi hicho msimu wa 2023/24 kwenye mechi za ushindani kitaifa na kimataifa. Ikumbukwe kwamba Michael ambaye alipewa jina la fungafunga anaingia kwenye orodha ya nyota wapya ambao walipata nafasi ya kufunga kwenye Kariakoo Dabi kwenye mchezo wake wa kwanza ndani ya ardhi ya Tanzania….

Read More

MUTALE MAMBO BADO NDANI YA SIMBA

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, kuna uwezekano akakosekana kwenye mchezo ujao wa ligi. Ni nyota Joshua Mutale yeye kwa upande wake mambo bado kutokana na kutokuwa fiti kwa sasa wakati timu hiyo ikiwa kwenye maandalizi ya mchezo dhidi ya Fountain Gate. Nyota huyo alipata maumivu kwenye mchezo…

Read More

KUMBE! SIMBA WANASHINDA LAKINI HAWANA FURAHA

AHMED Ally, meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanashinda lakini hawana furaha kwa kuwa bado wanatengeneza timu hiyo. Mchezo wa kwanza wa Simba katika Ligi Kuu Bara ilikuwa dhidi ya Tabora United uliochezwa Uwanja wa KMC, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 3-0 Tabora United kwa msimu wa 2024/25…

Read More