
FEISAL GARI LIMEWAKA HUKO
KIUNGO mshambuliaji ndani ya kikosi cha Azam FC, Feisal Salum gari limewaka huko kutokana na kasi yake ya kucheka na nyavu kuendelea kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Wakati ubao wa Uwanja wa Azam Complex, Novemba 28 2024 ukisoma Azam FC 2-1 Singida Black Stars ambayo imetoka kuachana na Patrick Aussems ambaye alikuwa kocha mkuu…