
SIMBA KWENYE HESABU NDEFU KIMATAIFA
MSHAMBULIAJI wa Simba Leonel Ateba ameweka wazi kuwa watapambana kutafuta ushindi kwenye mchezo wa kimataifa unaotarajiwa kuchezwa Jumapili, Desemba 8 2024. Simba kwa sasa ipo nchini Algeria kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya CS Constantine ambapo ni Aishi Manula aliyekuwa kwenye mpango wa safari alipata changamoto ya kiafya hivyo…