
HUYU HAPA MKALI WA MABAO YA VICHWA
WAKATI wa usajili kwa msimu wa 2024/25 Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally aliweka wazi kuwa kuna staraika refu kuliko goli ambalo lenyewe haliruki mipira ya juu bali ni waa, mpira upo kambani. Nyota huyo ni Steven Mukwala ambaye kafunga jumla ya mabao mawili kwenye ligi na katika mabao hayo kafunga…