MECHI 10 ZA SIMBA BONGO NA MATOKEO YAKE HIZI HAPA

MECHI 10 Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imecheza huku ikambulia joto ya jiwe kwa kufungwa mchezo mmoja dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikuwa Kariakoo Dabi na sare ni mchezo mmoja. Hizi hapa rekodi za mechi 10 za Simba ndani ya 2024/25 kwenye NBC Premier League namna hii:- Simba 3-0 Tabora United…

Read More

YANGA NA KIMATAIFA HESABU ZIPO HIVI

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wameanza kupiga hesabu kimataifa kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Al Hilal ya Sudan unaotarajiwa kuchezwa Novemba 26 2024. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Sead Ramovic tayari wameanza maandalizi kuelekea mchezo huo wa hatua ya makundi ndani ya msimu wa 2024/25. Bakari…

Read More

SIMBA WAKALI NDANI YA 18

KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni wakali wa kufunga mabao mengi ndani ya 18 katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 ambao una ushindani mkubwa mwanzo mwisho. Ndani ya NBC Premier League ni mabao 19 mastaa wa Simba wamefunga ikiwa ni namba moja katika timu zilizofunga mabao mengi…

Read More

🔴#BREAKING: KARIAKOO -GHOROFA LILILOANGUKA NA KUUA WATU TAZAMA KINACHOENDELEA MUDA HUU

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema zoezi la uokoaji kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika eneo la Soko la Kimataifa la Kariakoo linaendelea tangu kutokea kwa ajali hiyo na halikusitishwa kama baadhi ya taarifa zilivyoenea mitandaoni. Akizungumza akiwa Kariakoo Chalamila amesema kuna watu bado wapo chinii, hivyo waokoaji…

Read More

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFIKA LILIPOPOROMOKA JENGO KARIAKOO – ATOA TAMKO la SERIKALI…

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kushirikiana na Kamati za Ulinzi kuhakikisha manusura waliofukiwa na kifusi cha ghorofa lililoporomoka Wanaokolewa Aidha, Waziri Mkuu ameagiza Mitungi ya Hewa ya #Oxygen ipelekwe kwenye eneo hilo ili kuwasaidia manusura waliopo chini ambao bado hawajaokolewa wakati zoezi la uokozi likiendelea Hadi sasa watu kadhaa…

Read More