
AZAM FC: TULIKUWA BORA LICHA YAKUPOTEZA FAINALI
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba licha yakupoteza mchezo wao wa fainali mbele ya Yanga bado walikuwa kwenye ubora katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Agosti 11 2024. Ipo wazi kuwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Miguel Gamondi ilitwaa ubingwa huo kwa ushindi wa mabao 4-1 katika fainali iliyokuwa na ushindani mkubwa. Hasheem Ibwe,…