
PIGA PESA NA MECHI ZA EUROPA LEO, MAN UNITED ATAKUWA OLD TRAFFORD
EUROPA Leo kuna kivumbi haswa mechi kibao zinapigwa zikisaka ushindi wa pointi 3, basi hapo hapo Meridianbet nao wanakwambia nafasi ya kuondoka na maokoto ni yako. AS Roma atakuwa ugenini dhidi ya Union Saint-Gilloise ambaye ana pointi moja pekee kwenye mechi zake ambazo kacheza. Vijana kutoka Italia wao wana pointi 4 hadi sasa. Je beti…