
KAGERA SUGAR DAKIKA 270 WAAMBULIA KILIO, RATIBA HII HAPA
KAGERA Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwenye mechi za nyumbani mambo ni magumu katika mechi tatu mfululizo ambazo ni dakika 270 kwenye Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 kwa kukwama kupata matokeo chanya. Mechi mbili ambazo ni dakika 180 walicheza Uwanja wa Kaitaba ilikuwa Kagera Sugar 0-1 Singida Black Stars, Kagera Sugar 0-2 Yanga na…