
KIMATAIFA YANGA WAKOMBA MAMILIONI, HAO MAKUNDI
WAPINZANI wa Yanga kimataifa, CBE SA ya Ethiopia wameipa Yanga jumla ya milioni 35 kwa kufungwa jumla ya mabao 7-0 ndani ya dakika 180 katika anga la kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Rekodi imeandikwa Septemba 21 2024 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi kutinga hatua ya makundi kwa ushindi wa mabao 6-0 CBE…