
SIMBA YATAMBIA USHINDI MBELE YA AZAM FC
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umefurahia ushindi wao katika mchezo wa Mzizima Dabi uliochezwa Uwanja wa New Amaan Complex kwa kukomba pointi tatu muhimu kwenye mchezo huo. Ni Septemba 26 2024 mchezo huo ulichezwa baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex ulisoma Azam FC 0-2 Simba mabao yakifungwa na Leonel…