
MKALI ONANA JIONI KABISA AMEKUTANA NA THANK YOU
MWAMBA Willy Onana hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba msimu wa 2024/25 baada ya kukutana na Thank You jioni kabisa kutoka kwa waajiri wake hao. Ipo wazi kwamba Onana anashikilia rekodi ya kuwa mfungaji wa mwisho msimu wa 2023/24 alifanya hivyo katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambao ulikuwa ni wa…