KIBOKO YA AIR MANULA NI MOTO WA KUOTEA MBALI

MTAMBO wa mabao ndani ya Azam FC, Prince Dube kahusika kwenye mabao 10 ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kali Ongala. Dube kampa tabu pia kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula kwa kumtibulia rekodi zake za kutofungwa kwenye mechi zote mbili za ligi walipokutana Uwanja wa Mkapa. Manula wa Simba ni namba mbili kwa…

Read More

YANGA YAPIGA MKWARA KUHUSU USAJILI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa usajili ambao wameufanya watawasumbua kwelikweli wapinzani wao kwenye mechi zote za ushindani. Ni mzawa Nickson Kibabage kutoka Singida Fountain Gate huyu ametambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga kiachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi. Mwingine ni Jonas Mkude ambaye alikuwa ndani ya Simba sasa atakuwa ndani ya kikosi cha…

Read More

JINA LA AUSSEMS LATAJWA NAMUNGO

IMEELEZWA kuwa benchi la ufundi la Namungo FC litafumuliwa hivi karibuni ili kuweza kupata kocha mpya kwenye kikosi hicho. Habari kutoka ndani ya Klabu ya Namungo zinasema kuwa viongozi wameanza kufanya mazungumzo na aliyekuwa kocha wa Simba na sasa anaifundisha AFC Leopards ya Kenya, Patrick Aussems kuona namna gani watampata. Inatajwa kuwa Namungo tayari wamemtumia…

Read More

SIMBA NDANI YA DAR,HESABU ZAO HIZI HAPA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Simba leo Machi Mosi wamerejea Dar baada ya kukamilisha dakika 180 za msako wa pointi sita kimataifa ugenini. Kwenye msako huo Simba iliambulia pointi moja na kufikisha pointi 4 kibindoni baada ya kupoteza mchezo mmoja wa kimataifa. Ilikuwa mbele ya USGN ya Niger, Simba ililazimisha sare ya kufungana…

Read More

HUYU HAPA PILATO WA YANGA V SIMBA, KARIAKOO DABI

AHMED Arajiga ametangazwa kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 8 2025 ambapo wababe wawili wanatarajiwa kukutana Yanga na Simba. Ikumbukwe kwamba Arajiga alikuwa mwamuzi kwenye mchezo wa Mzizima Dabi uliochezwa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-2 Azam FC wababe hao…

Read More

SIMBA:RS BERKANE WAMEKUJA WAKATI MBAYA,MUGALU AREJEA

AHMED Ally Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa wapinzani wao wamewakuta wakiwa kamili kutokana na wachezaji wote kuwa tayari kwa mchezo huo. Simba itamenyana na RS Berkane ya Morocco katika mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 13. Ally amesema:”Taarifa ya awali kuhusu majeruhi ni kuwa Hassan Dilunga…

Read More

SLOTI YA LUCKY DOLPHIN KASINO YENYE MANDHARI YA BAHARINI

Unambiwa bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa kiasi kikubwa vinapatikana baharini waulize wavuvi watakwambia juu ya maajabu ya baharini. Meridianbet kasino mtandaoni inakurudisha baharini kuusaka utajiri kupitia mchezo wa kasino unaitwa Lucky Dolphin. Lucky Dolphin ni sloti ya kasino mtandaoni…

Read More

ANAONDOKA YANGA SC KIUNGO WA KAZI AZIZ KI

INAELEZWA kuwa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Aziz Ki anasepa mazima ndani ya kikosi hicho baada ya kupata ofa kutoka Wydad ambayo inahitaji huduma yake. Taarifa zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa kiungo huyo akaondoka mapema kujiunga na timu mpya kwa ajili ya changamoto mpya. Ki…

Read More