KIPA SIMBA AIBUKIA MTIBWA SUGAR

JEREMIA Kisubi, kipa namba tatu wa Simba leo Januari 10,2022 ametambulishwa ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar. Usajili wake ni wa mkopo akitokea Simba ambapo huko alikuwa hapati nafasi ya kuanza katika mechi za ushindani.   Aliibuka ndani ya Simba akitokea Tanzania Prisons ambapo huko alikuwa ni chaguo namba moja la benchi la ufundi. Ni…

Read More

KIVUMBI LIGI DARAJA TATU PWANI KINAKUJA

KIVUMBI cha Ligi daraja la tatu kwa mkoa wa Pwani kinatarajiwa kuanza Novemba 4 2023 katika makundi mawili tofauti ambapo jumla ya timu 14 zitashiriki. Ligi hiyo ya Daraja la tatu ngazi ya mkoa inasimamiwa na Chama Cha Soka mkoa wa Pwani (COREFA) ambapo itachezwa kwa mfumo wa Kanda katika mkoa ikiwepo Kanda ya Kusini…

Read More

MILIKI SAMSUNG A25 MPYA UKIBASHIRI NA USSD

Meridianbet inafurahia kutangaza kampeni mpya inayowezesha wateja wake kupata Samsung A25 mpya kabisa kwa urahisi kupitia huduma ya USSD. Wateja sasa wanaweza kushiriki na kudai zawadi zao kwa kupiga *149*10# bila shida yoyote, kwa haraka na kwa usalama wa hali ya juu. Hii ni fursa ya kipekee kwa wapenzi wa teknolojia kupata simu bora mkononi,…

Read More

MBEYA CITY WAGAWANA POINTI NA YANGA, MORRISON AWACHETUA

MBEYA City wamekubali kugawana pointi mojamoja na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Sokoine. Ni Mbeya City walitangulia kufunga mabao mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa George Sangija dakika ya pili na lile la pili likifungwa na Richardson Ng’odya aliyefunga mabao mawili. Bao la pili alifunga dakika 53 ikiwa ni kipindi cha…

Read More

YANGA KUIFUATA GEITA GOLD FULL MUZIKI

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zijazo na kurejesha shukrani kwa mashabiki ambao wamekuwa wakijitokeza kwa wingi uwanjani. Manara amesema:”Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya matokeo ambayo tunayapata kwenye mechi zetu za Kombe la Shirikisho pamoja na mechi za ligi. “Ushindi huu unahanikizwa na kila Mwanayanga…

Read More

YANGA WAIACHA MBALI SIMBA KWENYE MABAO NA POINTI

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Sead Ramovic wamewaacha mbali watani zao wa jadi kwenye tofauti ya pointi na idadi ya mabao ya kufunga. Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kagera Sugar, mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex Februari Mosi 2o25 Yanga imefikisha pointi 42 ikiishusha Simba nafasi…

Read More

WAWA AFUNGUKIA ISHU YAKE NA PABLO

PASCAL Wawa, beki wa kati wa Simba, ameweka wazi kuwa hakuna tofauti kati yake na Kocha Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco. Juzi, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ilitokea hali ya kutoelewana katika suala la kufanya mabadiliko ambapo Wawa alikuwa anajiandaa kuingia uwanjani akitokea benchi ghafla, Pablo alimvuta kwa nguvu kubwa na kuonekana akilalamika. Pia…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE KIMATAIFA WAONGEZEWA NGUVU

WAKIWA katika maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Future, Singida Fountain Gate kutoka Tanzania wameongezewa nguvu kupitia viongozi waliofika kambini. Wawakilishi hao kwenye anga la kimataifa Oktoba Mosi watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Future. Septemba 28, 2023 ugeni kutoka kwa viongozi ikiwa ni pamoja na waziri…

Read More

GANZI YA MAUMIVU KWENYE UPENDO YAPIGA HODI KIGAMBONI

RASMI ile simulizi ya Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo iliyopata nafasi ya kutoka kwenye gazeti la Championi Jumatano na kusomwa na zaidi ya Watanzania milioni sasa inapiga hodi Kigamboni mji ulitulia huku amani ikizidi kutawala kila kona. Ikumbukwe kwamba hii ni simulizi ya kwanza kuwa kwenye mfumo wa kitabu imeandikwa na Mtunzi Lunyamadzo Myuka, A…

Read More

YANGA WATAJA SABABU YA KUAMBUIA POINTI MOJA

BAKARI Mwamnyeto nahodha wa Yanga ameweka wazi kuwa moja ya sababu kubwa iliyofanya wakakosa ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania ni sehemu ya kuchezea kutokuwa rafiki. Mchezo wa mzunguko wa pili kati ya JKT Tanzania na Yanga ulichezwa Aprili 24 2024 ambapo awali ulitarajiwa kuchezwa Aprili 23 lakini uliahirishwa kutokana…

Read More

SIMBA 1-0 DODOMA JIJI, UWANJA WA UHURU WANAPATA TABU

LINAPIGWA pira Uturuki v Pira Zabibu Uwanja wa Uhuru huku ukuta wa Dodoma Jiji ukiwa imara kuwakabili wapinzani wao. Licha ya nguvu walizonazo Dodoma Jiji kuwazuia washambuliaji wa Simba wakiongozwa na Jean Baleke ni mashuhuda ubao ukisoma Simba 1-0 Dodoma Jiji. Jean Baleke ametupia bao dakika ya 43 kwenye Uwanja wa Uhuru ambao timu zote…

Read More