
YANGA YAJIVUNIA JEMBE HILI LA KAZI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa una kila sababu za kujivunia uwepo wa wachezaji wao wote wanaofanya kazi kwa ushirikiano ikiwa ni pamoja na kiungo Aziz KI. Ikumbukwe kwamba Aziz KI ni namba moja kwenye utupiaji ndani ya ligi akiwa na mabao 10 kibindoni sawa na namba ya jezi yake pendwa mgongoni akiwa uwanjani kutimiza…