TAIFA STARS SAFARINI KUELEKEA AZERBAIJAN

BAADA ya Hemed Morocco kutangaza orodha ya wachezaji watakaokuwa katika timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, safari imeanza kwa ajili ya kuelekea Azerbaijan ambapo wanatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki. Tayari kikosi cha Taifa Stars kimewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Istanbul, Uturuki muda wowote kitakwe pipa kuelekea Baku, Azerbaijan kwenye mashindano ya FIFA…

Read More

GAMONDI ASEPA NA TUZO YAKE KUTOKA NBC

WASHINDI wa tuzo ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na Beki ya Taifa NBC kwa Februari wamekabidhiwa tuzo zao huku makubwa yakiahidiwa. Yote hayo yalifanyika Machi 17 2024 ambapo NBC ilikabidhi zawadi ya pesa na tuzo kwa kocha bora wa ligi hiyo wa mwezi Februari. Ni Miguel Gamond kutoka Klabu ya Yanga alitwaa tuzo ya…

Read More

GAMONDI AWAANDALIA DOZI WAPINZANI WA CAF

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…

Read More

AKILI ZA SIMBA SASA ANGA LA KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa mpango mkubwa kwa sasa  ni kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Al Ahly ya Misri. Timu hiyo imetinga hatua hiyo ikiwa nafasi ya pili kwenye kundi B na pointi zake ni 9 inatarajiwa kuanza kwenye mchezo wa kwanza nyumbani, Uwanja wa Mkapa….

Read More

AZIZ KI MKALI WA MZIZIMA DABI

WAKATI wakitarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa kwenye msako wa pointi tatu muhimu mkali wa Mzizizma Dabi ni Aziz KI. Aziz KI kahusika kwenye mabao 19 kati ya 48 yaliyofungwa na Yanga akiwa kafunga 13 na kutengeneza pasi za mabao 6 msimu wa 2023/24 kwenye ligi. Ni yeye mzunguko wa kwanza dhidi ya Azam FC alifunga…

Read More

MKALI WA NYAVU AZAM FC HUYU HAPA

MATAJIRI wa Dar, Azam FC mkali wao wa kucheka na nyavu ni Feisal Salum akiwa kafunga jumla ya mabao 12 kati 45 yaliyofungwa na timu hiyo iliyo nafasi ya tatu na pointi 44 baada ya kucheza mechi 20. Yusuph Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa maandalizi yamekamilika kuelekea mchezo wao dhidi ya…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE YAPETA, KADI ZATAWALA

KAZI imeanza kwa kocha mpya wa Singida Fountain Gate Jamhuri Kihwelo (Julio) kwenye mchezo wa kwanza kukaa benchi ameanza kwa ushindi na kukomba pointi tatu muhimu. Ikumbukwe kwamba Julio alitambulishwa kuifundisha timu hiyo Machi 13 2024 na kupewa ajenda 10 muhimu ambazo ni mechi za ligi 10, ya kwanza imekamilikabado kete 9 mkononi. Singida Fountain…

Read More

MERIDIANBET YATOA MSAADA ZAHANATI MWENGE

Kampuni ya Meridianbet awamu hii wamefika mwenge jijini Dar-es-salaam katika Zahanati ya Mlalakua na kufanikiwa kutoa msaada wa vifaa vya kutunza takataka katika Zahanati hiyo. Kurudisha kwenye jamii yake iliyowazunguka ni kawaida kwa Meridianbet na leo wamegeukia moja ya Zahanati zinazopatikana katika eneo la Mwenge inayofahamika kama Mlalakuwa wakitoa msaada wa vifaa vya kutunza takataka…

Read More

WAZIR JUNIOR ANA BALAA HUYO MABAO 50

MZAWA Wazir Junior anayetimiza majukumu yake ndani ya KMC wakusanya mapato ameandika rekodi yake kwa kuwa na mabao mengi ndani ya ligi.  Junior amefikisha jumla ya mabao 50 aliyofunga kwenye Ligi Kuu tangu aanze kucheza soka la kulipwa. Junior amefunga mabao huku akiwa amecheza jumla ya mechi 77 kwenye Ligi Kuu tangu akiwa na Toto…

Read More