MWAMBA WA KAZI ATUMA UJUMBE AL AHLY

MWAMBA wa kazi Shomari Kapombe amebainisha kuhusu mpango kazi kuhusu mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Machi 29 2024. Kapombe ameweka wazi kuwa wanatambua kwamba ushindani ni mkubwa na watafanya kazi kubwa kupambana kupata matokeo chanya

Read More

AZAM FC YAPETA MBELE YA ZIMAMOTO

KLABU ya Azam FC kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimamoto waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 baada ya dakika 90 kukamilika. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Azam Complex Azam FC walianza kupata bao la kuongoza ilikuwa dakika ya 10 kupitia kwa mwamba Kipre Junior katika mchezo huo. Kabla ya mapumziko Hilika dakika ya 28…

Read More

SIMBA YAPIGA HESABU KUANDIKA HISRORIA CAF

WILLY Onana kiungo mshambuliaji wa Simba amesema wapo tayari kuandika historia kwa kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Ipo wazi kwamba miongoni mwa waliotimiza majukumu yake katika hatua za makundi ni Onana licha ya kutokuwa na mwendelezo mzuri, mabao yake mawili kwenye mchezo dhidi ya Wydad Casablanca yaliongeza nguvu kwa Simba kutinga…

Read More

SERIKALI YATUMIA BILIONI 2.4 KUGHARAMIA TIMU ZA TAIFA

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Februari, 2024 Wizara kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imetumia kiasi cha Shilingi Bilioni 2.4 kugharamia timu mbalimbali za Taifa katika mashindano ndani na nje ya nchi. Mhe. Ndumbaro amesema hayo wakati akiwasilisha utekekezaji wa Bajeti…

Read More

SIMBA KUWABADILIKIA AL AHLY KIMATAIFA

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya kikosi cha Simba amebainisha kwamba watakwenda na kasi ya wapinzani wao Al Ahly Waarabu wa Misri kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali. Ikiwa imeweka kambi Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya…

Read More

KUHUSU AUCHO, KIBWANA, PACOME ISHU YAO IPO HIVI

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns uongozi wa Yanga umebainisha kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huku ukibainisha kuhusu hali za wachezaji wao ambao hawapo fiti ikiwa ni Khalid Aucho, Pacome, Kibwana Shomari. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Mahi 30 Uwanja wa Mkapa

Read More

YANGA YAPANIA KUFANYA KWELI KIMATAIFA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya hesabu kubwa ni kufanya kweli kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ambao ni hatua ya robo fainali. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga imetinga hatua ya robo fainali ikiwa na pointi 8 ambapo katika Kundi D ilikuwa…

Read More

KOCHA TABORA UNITED AKUTANA NA THANK YOU

UONGOZI wa Klabu ya Tabora United umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu Goran Copnovic raia wa Serbia.Rasmi leo Machi 21 2024 taarifa imetolewa baada ya awali tetesi kueleza kuwa kocha huyo amesitishiwa mkataba wake kutokana na mwendo mbovo wa timu hiyo. Tabora United imefikia uamuzi huo kutokana na…

Read More

HIVI HAPA VIINGILIO MECHI YA SIMBA V AL AHLY

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly nguzo kubwa ya ushindi ni mashabiki jambo ambalo limewafanya waweke viingilio rafiki. Ipo wazi kwamba Simba ina kibarua cha kusaka ushindi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly hatua ya robo fainali Machi 29 2024 Uwanja…

Read More

YANGA: TUTAPAMBANA MPAKA TONE LA MWISHO

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa watapambana mpaka tone la mwisho kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na mechi za kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe kwamba Yanga katika mzunguko wa kwanza ilipoteza mchezo mmoja pekee ugenini kwa kuhushudia ubao wa Uwanja wa Highland Estate ukisoma Ihefu 2-1…

Read More