BETPAWA YADHAMINI TIMU ZA TAIFA KIKAPU KWA MABILIONI
TIMU za taifa za mpira wa kikapu za wanaume (Silverbacks) na wanawake (Gazelles) zimepata udhamini mnono kutoka kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa wenye thamani ya sh2.6 bilioni za Uganda, sawa n ash Bilioni 1.8 za Kitanzania. Mkataba wa udhamini huo wa miaka mitatu ulisainiwa jana kati ya maofisa wa Shirikisho la Mpira wa…