NADO MZEE WA REKODI NDANI YA AZAM FC

MWAMBA Idd Suleiman Nado ni mzee wa rekodi ndani ya Azam FC kwenye msimu mpya wa 2024/25 ambao umeanza kwa ushindani mkubwa na timu hiyo ilipata ushindi kwenye mchezo wake wa tatu baada ya kucheza dakika 180 bila kupata pointi tatu. Ikumbukwe kwamba Nado ni mchezaji wa kwanza kupiga kona katika kikosi hicho ilikuwa Agosti…

Read More

YANGA WAPIGA HESABU ZA KIMATAIFA

NAHODHA wa Yanga, Bakari Nondo amesema kuwa makosa ambayo yalitokea kwenye mchezo uliopita ugenini licha ya kupata ushindi yamefanyiwa kazi na benchi la ufundi hivyo wataingia uwanjani wakiwa na hesabu za kupata ushindi kwenye mchezo wao wa kimataifa. Septemba 21 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi itakuwa Uwanja wa New Amaan Complex kusaka ushindi…

Read More

KMC YAKIRI KUFANYA MAKOSA MENGI UWANJANI

BENCHI la ufundi la KMC limebainisha kuwa kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC, Mwenge baada ya dakika 90 wakapoteza pointi tatu. Ilikuwa KMC 0-4 Azam FC ambao walipata ushindi wa kwanza ndani ya ligi baada ya kucheza mechi mbili mfululizo bila kupata ushindi. Mechi…

Read More

AZAM FC YAIPIGIA HESABU KMC

UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa upo tayari kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC kutokana na maandalizi waliyofanya na wanahitaji pointi tatu muhimu. Ikumbukwe kwamba kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 Azam FC haijafungwa wala kufungwa ndani ya dakika 180 walizocheza mechi za ushindani uwanjani. Hasheem Ibwe,…

Read More

SIMBA YAPIGA HESABU KULIPA KISASI KWA MKAPA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa mpango mkubwa kwenye anga la kimataifa ni kulipa kisasi kwa wapinzani wao Al Ahli Tripoli kwa mashabiki kujitokea kwa wingi kwenye mchezo wa marudio ili kuwaongezea nguvu wachezaji wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Septemba 22 2024 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa wakiwa na kumbukumbu…

Read More

SIMBA YASHANGAZWA NA WAARABU, KULIPA KISASI KWA MTINDO HUU

BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kwamba limeshangazwa na vitendo vilivyofanyika na mashabiki wa Al Ahli Tripoli kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika huku wakipanga kulipa kisasi kwa mtindo wa kipekee ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Septemba 15 ilikuwa na kazi kusaka ushindi ugenini baada ya…

Read More

DUBE ANA HATARI UWANJANI, GAMONDI KUMSUKA UPYA

NYOTA mpya wa Yanga, Prince Dube ana balaa zito ndani ya kikosi cha Yanga kwenye mechi ambazo anacheza licha ya kushindwa kufunga mabao mengi katika nafasi anazopata huku benchi la ufundi likibainisha kwamba wanasuka upya safu ya ushambuliaji kuongeza makali uwanjani. Ipo wazi kwamba kuna vita kubwa eneo la ushambuliaji Yanga ikiwa kuna Clement  Mzize,…

Read More

WAKIMATAIFA KAZINI SEPTEMBA

WAKIMATAIFA katika Ligi ya  Mabingwa ambao ni Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi watakuwa na kazi ya kusaka ushindi wakiwa nyumbani kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo uliopita wakiwa ugenini ubao ulisoma CBE SA 0-1 Yanga bao la ushindi likifungwa na Prince Dube dakika ya 45 akitumia pasi ya…

Read More

SIMBA:KAZI TUTAIMALIZA UWANJA WA MKAPA KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kazi kubwa kwenye anga la kimataifa itakwenda kuamuliwa Dar, Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa marudio dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya. Ni Septemba 15 2024 baada ya dakika 90 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ubao ulisoma Al Ahli Tripoli 0-0 Simba hivyo ndani ya dakika…

Read More

USHAMBULIAJI YANGA KAZI IPO

UWEPO wa washambuliaji zaidi ya wawili ndani ya Yanga unatoa picha kwamba kazi ipo katika eneo hilo kwa kuwa hakuna mwenye uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza kwenye mechi za ushindani kitaifa na kimataifa msimu wa 2024/25. Ukiweka kando washambuliaji ndani ya Yanga kuna viungo zaidi ya wawili wenye uwezo wa kufunga na kutengeneza nafasi…

Read More

YANGA KAZINI NEW AMAAN COMPLEX KIMATAIFA

BAADA ya mchezo wa Septemba 14 2024 ubao kusoma CBE SA 0-1 Yanga dakika 90 za kazi zinatarajiwa kuchezwa Jumamosi katika ardhi ya Tanzania. Chini ya MiguelGamondi ambaye ni kocha mkuu wa Yanga katika dakika 90 za ugenini bao la ushindi lilipachikwa na mshambuliaji Prince Dube dakika ya 45. Gamondi ameweka wazi kuwa kuanza kwa…

Read More