
SIMBA: UBAYA UBWELA UMEANZA KUFANYA KAZI
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa tayari ubaya ubwela umeanza kufanya kazi kwa vitendo jambo linalofanya wapinzani wao kuanza kutapatata kwenye mechi ambazo haziwahusu kwa namna yoyote ile. Simba baada ya kucheza mechi nne za ligi imekomba 12 ikipata ushindi kwenye mechi zote ambazo ilicheza huku safu ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 10 ikiwa namba mbili…