RATIBA LIGI KUU BARA BONGO HII HAPA

MWENDO wa msako wa ushindi ndani ya uwanja kwenye mechi za Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuendelea leo Septemba 27 kwa mchezo mmoja kuchezwa Uwanja wa Tanzanite na utarushwa mubashara Azam TV  hivyo kama utashindwa kwenda uwanjani ni muda wako kukaa kwenye kideo kutazama mubashara. Ikumbukwe kwamba Septemba 26 2024 dunia ilishuhudia Mzizma Dabi Uwanja wa…

Read More

PILATO WA MZIZIMA DABI WEKA MBALI NA WATOTO

WAKATI ikiwa ni saa chache zimesalia kabla ya ulimwengu wa mpira kushuhudia Mzizima Dabi Uwanja wa New Amaan Complex, pilato wa mchezo huo weka mbali na watoto kutokana na misimamo yake akiwa kwenye majukumu yake. Azam FC itawakaribisha Simba kwenye mchezo wa kwanza msimu wa 2024/25 ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar….

Read More

MZIZIMA DABI LEO, FOUNTAIN GATE MKWARA MZITO

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea baada ya Septemba 25 2024 mabingwa watetezi wa ligi Yanga kusepa na pointi tatu ugenini dhidi ya Ken Gold, mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Bao pekee la ushindi kwenye mchezo huo lilifungwa na Ibrahim Bacca beki wa kazi akitumia pasi ya Aziz Ki ambaye kwenye mechi mbili mfululizo ametoa…

Read More

SIMBA HAWANA HOFU NA AZAM FC

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hawana hofu na wapinzani wao kwenye mchezo wao wa Mzizima Dabi ambao unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Simba imecheza mechi mbili ndani ya Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 180 na kupata ushindi kwenye mechi zote hizo huku Azam FC ikicheza mechi nne ambazo ni dakika…

Read More

YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA KEN GOLD

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya na kikubwa ni pointi tatu muhimu wanahitaji. Mchezo huo ni wa pili kwa Yanga ambao ni mabingwa watetezi ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar ulichezwa…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA HII HAPA

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa kwanza msimu wa 2024/25 ambapo kila timu zipo tayari kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Vinara ni Singida Black Stars baada ya kucheza mechi nne wamekomba pointi zote 12 huku nafasi ya pili ikiwa ni Fountain Gate yenye pointi 10, Ken Gold ambayo itakuwa kazini leo…

Read More

MPANZU NI MALI YA SIMBA

WINGA raia wa DR Congo Ellie Mpanzu rasmi amemalizana na Simba kwa kusaini dili la miaka miwili kuitumikia timu hiyo ambayo inanolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba Septemba 22 Mpanzu alikuwa Uwanja wa Mkapa kushuhudia timu hiyo ikicheza mchezo wa raundi ya pili Kombe la Shirikisho kusaka mshindi wa kutinga hatua ya makundi…

Read More

ALIYEWAZIMA WAARABU KWA MKAPA JIONI AFICHUA SIRI

NYOTA wa Simba kiungo Edwin Balua aliyewazima wapinzani wao kwenye anga la kimataifa jioni amefichua alichoambiwa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kabla ya kuingia kwenye mchezo huo. Septemba 22 2024 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 3-1 Al Ahli Tripoli huku mabao ya Simba yakifungwa na Kibu Denns dakika ya…

Read More

BEKI WA WAARABU HUYU VITENDO VYAKE NI OVYO

LEGEND kwenye ulimwengu wa Habari za Michezo Bongo, Saleh Ally Jembe ameweka wazi kuwa beki chipukizi kutoka Rwanda ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Al Ahli Tripoli ni mchezaji wa Hovyo kutokana na vitendo vyake kutokuwa vya kiungwana. Ikumbukwe kwamba Al Ahli Tripoli imefungashiwa virago na Simba ya Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Kombe…

Read More