MZUNGUKO WA PILI HUU HAPA MLANGONI MUHIMU KUJIPANGA
MZUNGUKO wa pili tayari upo mlangoni kwa timu ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara kuweza kujua nani atakuwa ni nani. Hesabu za mwisho hukamilishwa katika mzunguko wa pili hivyo jambo la msingi ni timu zote kuweza kujipanga na kupata ushindi kwenye mechi ambazo watacheza. Hakuna namna nyingine inayotakiwa kufanyika zaidi ya kila timu kuweza kufanya maandalizi…