
YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA DUBE KUTOFUNGA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa suala la mshambuliaji wa timu hiyo kutofunga litafika mwisho kwani licha ya kusemwa sana wapo wachezaji wengine ambao wamecheza muda mrefu bila kufunga ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba Dube aliibuka Yanga akitokea kikosi cha Azam FC ambapo huko kwenye mechi ambazo alicheza alifunga mabao 7 msimu wa 2023/24 miongoni mwa…