
WABABE WAWILI KAZINI YANGA DHIDI YA AZAM FC
Ft:Yanga 0-1 Azam FC Silla goal dakika ya 33 Azam Complex WABABE wawili wapo uwanjani kusaka pointi tatu muhimu ndani ya Azam Complex, Dar kwa wanaume 22 kuanza kikosi cha kwanza katika dakika 45 za mwanzo. Ubao unasoma Yanga 0-1 Azam FC bao likifungwa na Sillah dakika ya 33 kwenye mchezo katika kipindi cha kwanza….