
ISHU YA GAMONDI NA THANK YOU UPEPO UPO HIVI
WAKATI kukiwa na fukuto kwamba huenda Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga atakutana na mkono wa Thank You, kocha huyo bado yupoyupo kwa kuwa ameanza kuwanoa wachezaji wa timu hiyo kuelekea mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga imetinga hatua ya makundi ambapo inatarajiwa kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga hilo na itakuwa na kazi…