
LEONBET KUMWAGA FEDHA KWA WATAKAO BASHIRI MATOKEO KWA USAHIHI
WAKATI joto la uchaguzi mkuu wa Rais wa Marekani uliopangwa kufanyika Novemba 5, 2024 likipanda, kampuni nyota ya michezo ya kubashiri nchini, LEONBET imetangaza kuwapa fedha watakaobashiri kiusahihi matokeo ya wagombea, Donald Trump na Kamala Harris. Meneja Mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana amesema kuwa wameamua kupanua wigo wa kubashiri kwa wafuatiliaji wa siasa ili…