VIINGILIO VYA SIMBA DAY HIVI HAPA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa siku ya Simba Day ni sikukuu hivyo hawapangi viingilio vikubwa kuwakomoa mashabiki wao. Agosti 6 ni Simba Day ikiwa ni siku ya utambulisho kwa wachezaji pamoja na benchi jipya la ufundi pamoja na lile lililokuwa na timu msimu wa 2022/23. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano…

Read More

UEFA YAJA NA MKWANJA LEO MECHI ZINAENDELEA

Je unajua kuwa ukiwa na mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet, unaweza ukaibuka bingwa siku ya leo?. Mechi za UEFA zinaendelea leo huku kila timu ikihitaji ushindi kujiweka nafasi nzuri. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa. Slovan Bratislava watamleta kwao VFB Stuttgart ya kule Ujerumani na mpaka sasa wana pointi saba kwenye msimamo, huku mwenyeji yeye…

Read More

WIKIENDI YENYE MECHI KUBWA NA KALI LIVERPOOL VS CHELSEA, ARSENAL VS MAN UTD, MAN CTY VS WOLVES, SERIE A KUTAWAKA MOTO NA LA LIGA NI BARCA NA REAL MADRID

Kila mtu huwa na sehemu anayoipenda Zaidi ambayo inampatia furaha kila siku, Chimbo lako ni moja tu kama ukitaka kubeti wikiendi hii jiunge na familia ya Meridianbet ushindi ni uhakika, kila mechi wanatoa Odds Bomba za Ushindi. Wikiendi hii ni ya moto mno usipime mtu wangu, utaelewa ni kwanini nakwambai ya moto ebu fikiria moto…

Read More

LEO KITAWAKA STAMFORD BRIDGE

LEO Novemba 28, Uwanja wa Stamford Bridge kitawaka kwa mchezo mkali wa Ligi Kuu England kati ya Chelsea v Manchester United. Mwamuzi wa kati atakuwa ni Anthony Taylor ambaye akishapuliza kipyenga leo atakuwa anaashiria kuanza kuzitafuta dakika 90 za mchezo wa leo. Chelsea watakuwa nyumbani ambapo wataikaribisha Manchester United na ni vinara wa ligi kwa…

Read More

BOCCO,KAGERE WAANZIA BENCHI DHIDI YA KAGERA SUGAR

LEO Januari 26, Uwanja wa Kaiataba unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba ambapo washambuliaji wote leo wamewekwa benchi na Kocha Mkuu, Pablo Franco. John Bocco na Meddie Kagere pamoja na Yusuf Mhilu hawa wote wameanza kusoma mchezo nje na ndani ni viungo na mabeki wameanza. Hiki hapa…

Read More

MANARA:WALINIDHIHAKI,ILA IMEJIBU SLOGAN

ANAANDIKA Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga:”Wapo walioidhihaki, na kuna wengine walinikejeli binafsi, wakasema sina jipya,nazikumbuka sana zile kashfa katika kituo kimoja cha Redio kuhusu kauli mbiu hii,walitumia wiki nzima kuiponda na kunishanbulia huku wakisema nawajaza Wananchi. “Kuna nyakati hadi wenzangu klabuni wakanishauri tubadili,nikawaambia hii Slogan imenijia kwa kuwa tunahitaji kurudisha makombe yetu,tuendelee nayo hii…

Read More

FEI TOTO AFUNGUKIA TUZO YA AZIZ KI

MFUNGAJI namba moja kwa wazawa Feisal Salum anayetimiza majukumu yake ndani ya Azam FC amempa pongezi mfungaji bora wa ligi msimu wa 2023/24 ndani ya ligi. Ikumbukwe kwamba vita ya kiatu cha ufungaji bora ilikuwa kali kati ya Fei aliyemaliza msimu akiwa na mabao 19 huku Aziz KI akitupia jumla ya mabao 21. Nyota hao…

Read More

SIMBA YAIWINDA SAINI YA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAZI

INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye mazungumzo ya kuipata saini ya mshambuliaji wa Ihefu FC ambayo kwa sasa inaitwa Singida Black Stars, Ismail Mgunda. Nyota huyo Mgunda anayewaniwa vikali na Red Devils ya nchini Ghana ambayo inahitaji saini yake akapate changamoto mpya. Mgunda ndiye alikuwa anaunda safu nzuri ya ushambuliaji pamoja na Elvis Rupia katika kikosi…

Read More

KMC WAIVUTIA KASI MTIBWA SUGAR

KIKOSI cha KMC FC leo Mei 9 kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Alhamisi ya Mei 12 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Timu hiyo ya Manispaa ya Kinondoni chini ya Kocha Mkuu, Thierry Hitimana inajiandaa na mchezo huo muhimu ikiwa nyumbani na hivyo…

Read More

SAKHO ACHEKELEA KUTINGA FAINALI

PAPE Sakho, kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba amesema kuwa kwake ni furaha kuona timu hiyo inatinga hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi. Jana Januari 10, Sakho alikuwa ni miongoni mwa nyota walioanza kikosi cha kwanza mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya pili. Simba ilishinda mabao 2-0…

Read More

KIUNGO WA KAZI APEWA MWAKA MMOJA YANGA

KIUNGO mshambuliaji mkongwe Mrundi, Said Ntibanzokiza ‘Saido’, amepewa mkataba wa mwaka mmoja wenye masharti magumu katika Klabu ya Yanga. Mrundi huyo ambaye anasubiria utambulisho hivi sasa, hivi karibuni aliongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea timu hiyo utakaomalizika 2023. Saido ni kati ya wachezaji ambao mikataba yao ilikuwa inatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu akiwa…

Read More