
AZAM FC YAIVUTIA KASI COASTAL UNION
BAADA ya kumalizana na Namungo ugenini sasa kikosi cha Azam FC kinafanya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union. Chini ya Kaimu Kocha Kali Ongala timu hiyo imetoka kupata ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Edward Manyama akitumia pasi ya Ayoub Lyanga. Mchezo wa kwanza kwa Ongala kuwa benchi ilikuwa…