YANGA AKILI ZAO ZIMEHAMIA HUKU SASA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga akili zao kwa sasa ni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma. Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 52 baada ya kucheza mechi 20 ambazo ni dakika 1,800 kinara wa utupiaji mabao ni Clement Mzize mwenye…

Read More

GAMONDI:SIFANYI KAZI YA UBASHIRI, TUNA TAKWIMU NZURI

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema wanatambua mchezo dhidi ya Geita Gold hautakuwa mwepesi licha ya kuwa na mwendo mzuri katika mechi zilizopita. Kocha huyo amebainisha kwamba hawezi kusema kwamba watafunga mabao mengi kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold kwa kuwa yeye hafanyi kazi ya ubashiri. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex…

Read More

BOSI SIMBA,YANGA WAITWA KAMATI YA MAADILI TFF

OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez atafikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoa ushahidi wa shutuma anazodaiwa kuzitoa wakati akihojiwa na Kituo cha Radio  nchini Afrika Kusini hivi karibuni. Katika taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa, Klabu ya Yanga iliwasilisha malalamiko yao kwa TFF dhidi ya…

Read More

SIMBA SC KWENYE KIBARUA DHIDI YA MASHUJAA

KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids Mei 2 2025 kinatarajiwa kuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Mashujaa FC ambao nao wanazihitaji pointi hizo tatu muhimu. Mchezo huo ni kiporo ratiba yake imepangwa upya kwa kuwa Simba SC ilikuwa kwenye mechi za kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa…

Read More

KOCHA SIMBA KUIBUKIA NAMUNGO FC

BAADA ya Hitimana Thiery aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba kuamua kuachana na mabosi hao anatajwa kuibukia Namungo FC. Desemba 28,2021 Simba walitangaza rasmi kufikia makubaliano ya kuachana na kocha huyo. Kwa sasa Namungo FC ipo kwenye hatua za mwisho kuweza kumtambulisha kocha wa timu hiyo baada ya Hemed Morocco kubwaga manyanga kutokana na timu hiyo…

Read More

NAMUNGO YAMPA TABU KIPA WA KMC

ENEO ambalo KMC wanapaswa kuboresha na kuongeza nguvu kwa mzunguko huu wa pili ni ulinzi ikiwa ni beki na mlinda mlango. Kipa wao namba moja David Kissu amekuwa akifanya makosa mengi yakizembe akiwa langoni hasa kutokana na maamuzi yake yanayoigharimu timu. Alipata tabu akiwa langoni kutokana na kutunguliwa mabao akiwa langoni. Anaingia kwenye orodha ya…

Read More

YANGA KUIKABILI SINGIDA BIG STARS

KIKOSI cha Yanga kesho kina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa pili wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Singida Big Stars. Katika mchezo wa kwanza wa mwaka 2023 Yanga ilisepa na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMKM. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar ambapo dakika 90 zilikuwa ngumu kwa timu zote mpaka…

Read More

Mpanzu afurahia kubaki ndani ya Simba SC

ELLIE Mpanzu winga wa Simba SC, raia wa DR Congo amesema kuwa ni furaha kwake kusalia katika familia ya timu hiyo kwa muda mwingine tena. Machi 23,2026 taarifa rasmi kutoka Simba SC ilieleza kuwa winga huyo mwenye pasi 5 za mabao msimu wa 2025/26 ndani ya NBC Premier League ameongeza kandarasi ya miaka miwili. Awali…

Read More

ZLATAN BADO YUYUPO AC MILAN

NYOTA wa Klabu ya AC Milan,Zlatan Ibrahimovic anatarajiwa kuendelea kutumika ndani ya kikosi hicho kwa msimu mwingine tena kwa mujibu wa taarifa. Nyota huyo mwenye miaka 40 alifanyiwa upasuaji wa goti Mei 25 mwaka huu na anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita. Staa huyo msimu wa 2021/22 licha ya majeraha ya…

Read More