KAGERA SUGAR KUWAKARIBISHA YANGA KAITABA

MABINGWA mara 30 ndani ya Ligi Kuu Bara Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi leo Agosti 29 2024 itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar. Kagera Sugar wanawakaribisha mabingwa watetezi waliotwaa taji msimu wa 2023/24 na baada ya kucheza mechi 30 ni pointi 80 walikomba jumlajumla. Ikumbukwe kwamba msimu wa…

Read More

GAMONDI AWAANDALIA DOZI WAPINZANI WA CAF

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…

Read More

VITA YA UFUNGAJI BORA PASUA KICHWA

Kwenye eneo la tuzo ya kiatu cha ufungaji bora vita bado ni mbichi kutokana na mechi ambazo zimebaki matokeo yake kutotabirika. Jean Ahoua wa Simba SC ni kinara kwa sasa akiwa na mabao 16 anafuatiwa na Clement Mzize na Prince Dube wa Yanga SC wakiwa wametupia mabao 13. Leonel Ateba wa Simba SC naye katupia…

Read More

TUCHEZE MPIRA KWA AFYA,ULINZI NI MUHIMU

IMEKUWA rahisi kwa sasa matukio yote ambayo yanatokea uwanjani kuweza kuonekana baada na kabla ya mchezo hii inatokana na kukua kwa teknolojia. Weka mbali suala ka kukua kwa teknolojia bado Azam TV wanaonesha kila mechi kuweza kuonyeshwa na mashabiki wakaweza kufurahia burudani. Mzunguko wa pili umekuwa na matukio mengi ambayo yanatokea yapo mazuri hasa kwa…

Read More

DTB YASEPA NA POINTI TATU MBELE YA KEN GOLD

RAMADHAN Nswazurimo, Kocha Mkuu wa Klabu ya DTB amesema kuwa wachezaji wake waliamini wameshinda kwenye mchezo wa leo dhidi ya Ken Gold jambo lililowafanya wapate tabu ndani ya dakika 90.   Mchezo wa leo wa Championship uliochezwa Uwanja wa Uhuru ulikuwa na ushindani mkubwa na timu zote zilikuwa zikishambuliana kwa zamu. Mwisho wa siku ushindi…

Read More

WAZIR JUNIOR ANA BALAA HUYO MABAO 50

MZAWA Wazir Junior anayetimiza majukumu yake ndani ya KMC wakusanya mapato ameandika rekodi yake kwa kuwa na mabao mengi ndani ya ligi.  Junior amefikisha jumla ya mabao 50 aliyofunga kwenye Ligi Kuu tangu aanze kucheza soka la kulipwa. Junior amefunga mabao huku akiwa amecheza jumla ya mechi 77 kwenye Ligi Kuu tangu akiwa na Toto…

Read More

SHINDA KITITA LEO KUPITIA RICH PANDA

Una nafasi ya kunyakua mkwanja leo kupitia mchezo wa Rich Panda ambao kwasasa umekua moja ya michezo ya Kasino inayopendwa na kutoa washindi wa mamilioni karibu kila siku, Hivo wewe mteja cheza mchezo huu leo uweze kushinda na kujiunga na timu ya mamilionea. Mchezo huu wa Rich Panda unatoa nafasi kubwa ya kuweza kushinda kitita…

Read More

PABLO FRANCO AIBUKA KWA MTINDO HUU SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ripoti ya usajili amayo inatumika kwa sasa ni ileiliyoachwa na aliyekuwa kocha wa timu hiyo Pablo Franco raia wa Hispania. Pablo alikuwa ndani ya Simba msimu wa 2021/22 alipobeba mikoba ya Didier Gomes alichimbishwa hapo baada ya kushindwa kutimiza makubaliano yalikuwa kwenye mkataba na mchezo wake wa mwisho ilikuwa ni Mei 28. Katika…

Read More

MALINDI YAWAIBUA KAPAMA NA BANDA, KESHO KAZI NYINGINE

PETER Banda na Nassoro Kapama wameibuliwa na Malindi FC kwenye mchezo wao wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kwenye mchezo huo uliochezwa juzi, ubao ulisoma Malindi0-1 Simba huku bao la ushindi likifungwa na Nassoro Kapama dakika ya 13. Bao hilo ni la kwanza kwa Kapama ambaye ameibuka ndani ya Simba akitokea Kagera Sugar na…

Read More

SIMBA JESHI LAKE DHIDI YA COASTAL UNION

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex Mwenge. Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mechi 10 ambazo wamekutana hivi karibuni ushindi kwa Simba ni mechi 8 na walitoshana nguvu kwenye mechi mbili ambazo ni dakika…

Read More

SIMBA SC YAMFUATA RASMI LUIS

BAADA ya kuwepo kwa tetesi kwamba Al Ahly ina mpango wa kumtoa kwa mkopo winga wake, Luís Miquissone, inaelezwa kwamba, uongozi wa Simba fasta umemfuata mchezaji huyo kutaka kumrejesha kikosini hapo. Luis ambaye alikuwa mchezaji wa Simba kwa kipindi cha msimu mmoja na nusu kuanzia Januari 2020 hadi Agosti, 2021, tangu ajiunge na Al Ahly…

Read More