KIMATAIFA MAMBO BADO UWANJA WA MKAPA

MAMBO ni magumu Uwanja wa Mkapa dk 45 za kipindi cha kwanza mchezo wa Kombe la Shirikisho. Simba 0-0 Orlando Pirates na asilimia ni 59 kwa umiliki wa mpira mwa Simba na Pirates ni asilimia 41. Ni kona 4 Simba wamepiga huku Orlando Pirates wao wakipiga kona moja ndani ya dk 45 za kipindi cha…

Read More

KUMBE MBRAZIL WA SIMBA ALIKUWA NA MKATABA MPAKA 2024

MILTON Nienov, raia wa Brazil aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Klabu ya Simba amebainisha kuwa alikuwa amesaini dili jipya la kuendelea kuitumikia timu hiyo mpaka 2024 ila haikuwa hivyo baada ya mabosi wa timu hiyo kuamua kuvunja mkataba wake. Nienov alikuwa akimnoa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula, Beno Kakolanya, Jeremia Kisubi na…

Read More

LEONBET KUMWAGA FEDHA KWA WATAKAO BASHIRI MATOKEO KWA USAHIHI

WAKATI joto la uchaguzi mkuu wa Rais wa Marekani uliopangwa kufanyika Novemba 5, 2024 likipanda, kampuni nyota ya michezo ya kubashiri nchini, LEONBET imetangaza kuwapa fedha watakaobashiri kiusahihi matokeo ya wagombea, Donald Trump na Kamala Harris. Meneja Mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana amesema kuwa wameamua kupanua wigo wa kubashiri kwa wafuatiliaji wa siasa ili…

Read More

AZAM FC WAPINDUA MEZA KIBABE

AZAM FC wamepindua meza kibabe baada ya kuambulia pointi moja mbele ya Coastal Union katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Azam FC 1-1 Coastal Union kwa wababe hao kugawana pointi mojamoja ambapo katika mzunguko wa kwanza Azam FC walivuna pointi tatu. Bao la Coastal Union lilifungwa na Semfuko…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA JKT TANZANIA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa ligi dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex,. Hiki hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza kipo namna hii:-Clement Mzize, Duke Abuya, Maxi, Sure Boy, Bakari Nondo ambaye ni nahodha, Job, Andambwile, Kibabage langoni yupo Diarra. Viungo Clatous Chama…

Read More

SIMBA SC KUWEKA KAMBI YAKE MISRI

KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26 kitaweka kambi nchini Misri. Ikumbukwe kwamba leo Julai 29 2025 Simba SC inatarajiwa kutangaza mdhamini mpya na ratiba nzima ya maandalizi kuelekea msimu wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kuna wachezaji wapya ambao watatambulishwa hivi karibuni ndani ya…

Read More