
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
IKIWA Uwanja wa Uhuru, leo Novemba 21 Klabu ya Azam FC imepoteza pointi tatu mazima mbele ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo wa leo unakuwa ni wa kwanza kwa KMC kushinda ndani ya ligi kwa kuwa katika mechi tano zilizopita haikuwa inajua ushindi upoje kwa msimu wa 2021/22. Bao la kwanza lilipachikwa…
LEO Novemba 21, Klabu ya Simba imefanya Mkutano Mkuu na Wanachama ambao umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere ambapo viongozi mbalimbali walikuwepo kwenye mkutano huo. Akisoma ripoti ya fedha ya bajeti ya mwaka uliopita wa 2020,Mkuu wa Kitengo cha Fedha,Utawala na Uendeshaji, Yusuph Nassor amesema kuwa kwenye bajeti ya mwaka uliopita…
SIMULIZI ya wezi waliorejesha ndinga waliyoiba Imepita miaka sita tangu gari langu aina ya Toyota Hilux lilipopotea nilijaribu juu chini kulitafuta lakini wapi halikupatikana,nakumbuka vizuri jinsi kisa hicho kilipotokea. Nilikuwa nafanya kazi na kampuni moja maarufu sana nchini nikiwa kama mfanyakazi wa kawaida hadi nilipopandishwa madaraka hadi nikawa meneja. Maisha yangu yakachukua mkondo mwingine nikaanza…
RASMI leo Novemba 21 Klabu ya Manchester United imethbitisha kuachana na Ole Gunnar Solskjaer ambaye ataondoka ndani ya timu hiyo kwenye majukumu ya kuwa kocha baada ya kushindwa kushinda taji lolote ndani ya miaka mitatu na Michael Carrick atachukua mikoba yake kwa muda kabla ya kocha mpya kuchaguliwa atakayemaliza msimu huu wa 2021/22. Solskjaer alisaini…
UWANJA wa Uhuru leo unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kukata na shoka kati ya KMC, Wanakino Boys dhidi ya Azam FC hawa matajiri wa Dar. Utakuwa ni mchezo wa 7 kuwakutanisha kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo rekodi zinaonyesha kwamba Azam FC wamekuwa wababe mbele ya KMC. Azam FC ni mara tatu imeshinda huku…
MIRTAZA Mangungu, Mwenyekiti wa Klabu ya Simba amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kuhakikisha kwamba wanashinda mataji. Simba ni mabingwa watetezi wa ligi wakiwa nafasi ya pili na pointi 14 huku Yanga wakiwa ni vinara wa ligi na wana pointi 16. Maneno hayo ameyasema katika mkutano mkuu wa Wanachama wa Simba ambao unafanyika…
DAVID De Gea kipa namba moja wa Manchester United amesema kuwa wapo kwenye wakati mgumu kwa sasa kutokana na matokeo ambayo wanayapata ila wanawashukuru mashabiki kwa namna ambavyo wanakuwa nao. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Watford 4-1 Manchester United. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Vicarage Road licha ya uwepo wa Cristiano Ronaldo…
KLABU ya Liverpool imeishushia kichapo cha mabao 4-0 Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa Uwanja wa Anfield. Mabao ya Sadio Mane dakika ya 39,Dogo Jota dakika ya 52,Mohamed Salah dakika ya 73 na Takumu Minamino dakika ya 77 yalitosha kuituliza Arsenal. Ni jumla ya mashuti 19 ambayo Liverpool ilipiga huku 9 yakilenga lango katika…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
KIKOSI cha Yanga kimelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Ilulu. Bao la Namungo limefungwa na Obrey Chirwa dakika ya 53 na bao la kusawazishwa kwa Yanga lilifungwa na Said Ntibanzokiza dk 82 kwa penalti. Inakuwa ni sare ya kwanza kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine…
SAA 10;00 jioni kikosi cha Yanga kitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC mchezo utakaochezwa Uwanja wa Ilulu, Lindi. Hiki hapa kikosi rasmi ambacho kinatarajiwa kuanza leo mbele ya Namungo kusaka pointi tatu muhimu:- Diarra Djidgui Djuma Shaban Kibwana Shomari Dickson Job Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala Tonombe Mukoko Jesus Moloko…
TANZANIA imeshuka nafasi moja kutoka 130 hadi 131 katika viwango vya ubora wa soka vilivyotolewa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, Fifa jana. Huenda kufanya kwao vibaya katika michezo miwili ya mwisho ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) waliofungwa mabao 3-0 na sare ya bao 1-1…
LEO Novemba 20, kikosi cha Yanga kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu. Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kikosi kinatarajiwa kuanza kusaka pointi tatu muhimu, hiki hapa kikosi ambacho kinaweza kikaanza:- Djigui Diarra Abdalah Shaibu Kibwana Shomari Dickson Job Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala…
SIMULIZI ya mzazi aliyekuwa na mawazo kisa uwezo wa watoto kuporomokaghafla Ni furaha ya kila mzazi kuona watoto wakifaulu maishani na kuweza kunawiri na kujiendeleza maishani mwake bila mtafaruku wowote, yote hayo yalionekana kutoweza kutimia kwa watoto ambao walikuwa ni Juma na Halima wenye miaka 10, na 13 Walikuwa wachangamfu na kunipa matumaini ya kuweza…
UONGOZI wa Namungo umebainisha kwamba malengo makubwa ambayo wanayo ni kuweza kushinda mechi zao zote zilizopo mbele yao ikiwa ni pamoja na ule dhidi ya Yanga. Leo Novemba 20, Namungo FC itawakaribisha Yanga kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu majira ya saa 10:00 jioni. Kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa Namungo FC,…
PABLO Franco Kocha Mkuu wa Simba ameanza kwa kushuhudia timu yake ikisepa na ushindi mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Ukiwa ni mchezo wake wa kwanza baada ya kuchukua mikoba ya Didier Gomes alishuhudia ubao ukisoma Ruvu Shooting 1-3 Simba ambapo mbinu yake ya kuwatumia washambuliaji wawili Kibu Dennis na…