
MORRISON AWASHUKURU YANGA
BAADA ya Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo,(CAS) kutoa maamuzi kuhusu kesi ya kiungo Bernard Morrison ambaye ilikuwa ni utata kuhusu mkataba wake na mabosi wake wa zamani Yanga mchezaji huyo ameandika ujumbe wa kushukuru. Jana Novemba 22 CAS ilitoa hukumu kwa kueleza kuwa imetupilia mbali rufaa ya kesi iliyokatwa na Yanga kuhusu dili la mkataba…