
UKIWA KWA MKAPA ONYESHA UKOMAVU, AL AHLY HAWAJAWAHI KUWA WEPESI
HATIMAYE siku imewadia, ni leo pale kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, historia inakwenda kuandikwa. Simba, itaandika rekodi ya kuwa klabu ya kwanza ya Tanzania kucheza michuano mikubwa na mipya ya African Football League ikiwa na Al Ahly ya Misri. Kwa mechi lazima tukumbushane, kwamba hata kidogo haitakuwa nyepesi kama ambavyo watu wamekuwa…