
KMC V AZAM FC KUKIWASHA LEO
UWANJA wa Uhuru leo unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kukata na shoka kati ya KMC, Wanakino Boys dhidi ya Azam FC hawa matajiri wa Dar. Utakuwa ni mchezo wa 7 kuwakutanisha kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo rekodi zinaonyesha kwamba Azam FC wamekuwa wababe mbele ya KMC. Azam FC ni mara tatu imeshinda huku…