
SIMBA YATOA TAMKO ISHU YA MPANZU KUCHEZA KITAIFA NA KIMATAIFA
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa kumekuwa na maswali mengi kuhusu lini Mpanzu atacheza jambo ambalo limemfanya atolee ufafanuzi suala hilo. Ikumbukwe kwamba nyota huyo yupo na kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids bado hajacheza mchezo wowote wa ushindani msimu wa 2024/25. Ally amesema: “Desemba 15…