
MUTALE AWEKWA BENCHI, AHOUA NAYE
KIUNGO Joshua Mutale ameanza benchi kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Wengine waliopo benchi ni Ally Salim, Hamza, Zimbwe Jr, Kagoma, Okejapha, Jean Ahoua, Mukwala, Mashaka na Alexander. Kikosi cha kwanza ni Camara, Kijili, Nouma, Chamou, Che Malone, Mzamiru Yassin akiwa na kitambaa cha unahodha….