Cheza Shindano la Expanse na Upate Donge Nono la Pesa

Kwakuwa Wikiendi imeanza hutakiwi kabisa kukosa pesa kwaajili ya matumizi mbalimbali, kipindi hiki cha mvua kubwa unapokuwa umechili mtaani kwako na washikaji zako, mfukoni hakikisha una kibunda cha kutosha, ukiwa na Meridianbet Kasino ya Mtandaoni Maokoto yamerahisishwa, kwa kushiriki kwenye shindano la Expanse. Jisajili Meridianbet Ushinde.   Expanse Studio ni mtoa huduma bora wa michezo…

Read More

YANGA NGUVU ZOTE KOMBE LA SHIRIKISHO

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kwa sasa akili zote zinaelekezwa kwenye mechi za Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushindwa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi iliondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya mabao 2-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan kwa kuwa mchezo…

Read More

KIPA SIMBA AWEKA REKODI YAKE MATATA

ALLY Salim kipa namba tatu wa Simba ameonesha uimara wake akiwa langoni ndani ya dakika 270 kwa kuyeyusha dakika zote hizo bila kutunguliwa hata walipokutana na watani zao wa jadi Yanga. Nyota huyo alipewa mikoba ya kipa namba moja wa Simba Aishi Manula na ile ya kipa namba mbili Beno Kakolanya kwenye mechi tatu mfululizo….

Read More

HESABU ZA KESHO MUHIMU KUPANGWA LEO

KWA kila aina ya nyakati ambazo zinapita ni muhimu kuwa na mwendelezo mzuri ambao utaleta matokeo chanya kila idara kwenye sekta ya michezo sio Yanga tu bali Singida Big Stars. Namungo mpaka Geita Gold wakati wa kuanza maandalizi ni sasa kwani kila timu ni muhimu kufanya maandalizi mazuri. Wapo ambao wanaamini kwamba kufika mwisho kwa…

Read More

AZAM FC: TULIKUWA BORA LICHA YAKUPOTEZA FAINALI

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba licha yakupoteza mchezo wao wa fainali mbele ya Yanga bado walikuwa kwenye ubora katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Agosti 11 2024. Ipo wazi kuwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Miguel Gamondi ilitwaa ubingwa huo kwa ushindi wa mabao 4-1 katika fainali iliyokuwa na ushindani mkubwa. Hasheem Ibwe,…

Read More

JULIO ATOA NENO LA MATUMAINI KMC

KOCHA Mkuu wa KMC,Jamhuri Khiwelu, ‘Julio’ amesema kuwa ana matumaini makubwa ya kuongeza ari kwenye mechi ambazo zimebaki. Julio amechukua mikoba ya Hitimana Thiery ambaye alifikia makubaliano ya kuvunja mkataba na timu hiyo kutokana na mwendo mbovu. Mchezo wa mwisho kwa Hitimana kukaa benchi alishuhudia ubao ukisoma KMC 0-2 Geita Gold. “KMC ni timu nzuri…

Read More

NTIBANZOKIZA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA

SAID Ntibanzokiza, Kiungo wa Yanga ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari ndani ya Ligi Kuu Bara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania imeeleza kuwa nyota huyo amechaguliwa na Kikao cha Kamati kilichokutana Dar Jumamosi. Kwenye mechi za ligi aliweza kutupia mabao mawili na kuhusika katika mabao matatu. Leo Yanga ina…

Read More

KIBU DENNIS KIUNGO WA KAZI AIGOMEA STARS

KIUNGO wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda Kibu Denis amekataa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa akidai anakwenda mapumziko nchini Marekani. Taarifa za uhakika zinasema baada ya kuchaguliwa katika kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa na mechi dhidi ya Zambia kwa kuweka kambi ya siku 7 nchini Indonesia, Kibu alikaa…

Read More

YANGA 2-1 TANZANIA PRISONS, AZIZ KI KAWAKA

UWANJA wa Azam Complex Yanga 2-1 Tanzania Prisons Goal kwa Prisons Benno dakika ya 4 Mabao kwa Yanga ni Aziz KI dakika ya 9 na 11 FUNGA kazi msimu wa 2023/24 ni leo ambapo timu zipo kazini kusaka pointi tatu. Yanga ipo Uwanja wa Azam Complex, Simba Uwanja wa Mkapa inapambana na JKT Tanzania. Azam…

Read More

YANGA KUMENYANA NA COASTAL UNION USIKU

 MCHEZO wa Yanga v Coastal Union unatarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa timu zote mbili kuweza kuingia uwanjani kusaka pointi tatu. Ikiwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ikishinda mchezo huo basi inakuwa imeweza kujihakikishia lengo la kutwaa ubingwa wa ligi. Vinara hao wa ligi kwa sasa wana pointi 64 kama wakishinda watafikisha…

Read More