
MSOTO WA SIMBA KUSAKA POINTI MOJA KIMATAIFA ULIKUWA HIVI
JUU ni baridi kali hivyo jambo la muhimu ni kuweza kuongeza juhudi kupata nguvu zaidi zitakazorejesha lile joto asilia na njia ni moja tu kuendelea kushinda mechi zote ili kuongeza nguvu. Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Simba wakiwa katika hatua ya makundi na ni kundi D kwa sasa wanaongoza na pointi zao 4…