
LEONEL ATEBA AFIKISHA MATANO SIMBA IKISHINDA MBELE YA KEN GOLD
MSHAMBULIAJI wa Simba, Leonel Ateba Desemba 18 2024 amefunga mabao mawili yaliyoipa pointi tatu muhimu timu hiyo kwenye mchezo dhidi ya Ken Gold. Ni dakika ya 34 Ateba alipachika bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti iliyosababishwa na Awesu Awesu na dakika ya 44 alipachika bao la pili kwa pigo la kichwa akimalizia kona iliyopigwa…