
KOCHA YANGA ANAFIKIRIA KUHUSU TAJI LA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ni hatua nzuri kuwania Kombe la Shirikisho la Azam ambalo msimu uliopita walipoteza katika mchezo wa fainali. Taji hilo lipo mikononi mwa Simba inayonolewa na Pablo Franco nayo imetinga hatua ya 16 bora kwa…