
HII HAPA RATIBA YA MZUNGUKO WA 14,SIMBA MIKONONI MWA WAJELAJELA
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ikiwa ni mzunguko wa 14 baada ya mzunguko wa 13 kukamilika huku vinara wakiwa ni Yanga na pointi zao no 35 kibindoni. Hii hapa ni ratiba ya mzunguko wa 14 mwendo utakuwa namna hii:- Ruvu Shooting v Mbeya Kwanza, Februari 3, Uwanja wa Azam Complex. Simba v Tanzania Prisons,…