
BARCELONA WAINYOOSHA NAPOLI
WAKIWA ugenini walishuhudia ubao ukisoma Napoli 2-4 Barcelona baada ya dakika 90. Ni mabao ya Lorenzo Insigne dakika ya 23 kwa mkwaju wa penalti na Matteo Politano dakika ya 87 kwa upande wa Napoli. Ni Jordi Alba dakika ya 8,Frenkie de Jong dk 13, Gérard Pique yeye alitupia bao moja dk ya 45 na hapo…