AZAM FC YAWEKA REKODI YAKE MAPINDUZI CUP 2023
AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala imeweka rekodi yake ndani ya Kombe la Mapinduzi 2023 kuwa timu iliyookota mabao mengi nyavuni kwenye mchezo mmoja kwa timu zilizo tatu bora bara. Ilikuwa dhidi ya Singida Big Stars kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ambapo walipoteza kwa kufungwa mabao 4-1 na kuondolewa katika Kombe…