
SURE BOY AWAPIGA MKWARA MABOSI ZAKE
KIUNGO wa Yanga, Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ amewachimba mkwara mabosi wake wa zamani Azam FC kwa kuwaambia kuwa atahakikisha anaipambania timu yake kupata matokeo ya ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajia kupigwa Aprili 6, mwaka huu. Sure Boy ni mchezaji wa zamani wa Azam, amejiunga na Yanga katika dirisha dogo la usajili msimu…