
MOLOKO AREJEA NA HESABU ZA UBINGWA
KIUNGO wa Yanga, Jesus Moloko, amefunguka kuwa kwa sasa anatamani sana kurejea kwenye kikosi hicho ili kuendeleza mapambano ya kulisaka taji la ligi kuu msimu huu. Moloko ambaye ameanza mazoezi na timu hiyo, anadai kuwa alikuwa anajisikia vibaya kuwa nje ya timu kwa sababu ya majeraha kwa kuwa mara zote amekuwa na kiu ya kutaka…