
VIDEO:MANENO YA KOCHA WA ZAMANI WA AZAM FC,ATAJA UGUMU ULIVYO
IDD Cheche, kocha wa zamani wa kikosi cha Azam FC ameweka wazi kuwa kwenye Championship kila timu inapambana kusaka ushindi ili kufikia malengo.
IDD Cheche, kocha wa zamani wa kikosi cha Azam FC ameweka wazi kuwa kwenye Championship kila timu inapambana kusaka ushindi ili kufikia malengo.
NJIA ambayo inatumika katika kusaka ushindi kwa kila timu ni maandalizi mazuri na wachezaji kupambana bila kuchoka ndani ya uwanja. Imekuwa hivyo kwa timu ambazo tayari zimekamilisha hesabu za mzunguko wa kwanza na nyingine bado mechi moja mkononi kufanya hivyo. Hakuna namna nyingine inayotakiwa kufanyika zaidi ya kila timu kuweza kufanya maandalizi mazuri kwa kuwa…
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo ametangaza rasmi kuwa shabiki wa Yanga. Utakumbuka Marioo alikuwa Simba na mara kadhaa alikuwa akishiriki katika matamasha ya Simba. Marioo amesema kuwa sababu kubwa ya kuhama Simba na kujiunga na Yanga kwa sababu hapendi mawazo (Stress). “Sasa nipo rasmi Yanga, zamani nilikuwa nashabikia timu ile nyingine. Mimi sipendi…
Meridianbet wameshirikiana na Polisi, kituo cha Mtongani Police Post Kuboresha muonekano wa kituo hicho kwa kupaka rangi, ikiwa ni moja ya jitihada zao za kurejesha kwa Jamii. Kampuni ya Meridianbet, ambayo ni Kampuni kongwe zaidi ya ubashiri Tanzania, ambayo ina masoko mengi ya Ubashiri imekuwa ikishiriki shughuli mbali mbali za kijamii. Ikiwa ni pamoja na…
LIGI ya Mabingwa Ulaya inaendelea kuwasha moto na kesho Februari 23 mchezo kati ya Atletico Madrid v Manchester United unasubiriwa kwa shauku kubwa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Wanda Metropolitan na ni wa hatua ya 16 bora ndani ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Swali kubwa ni kuhusu Cristiano Ronaldo na rekodi zake ambazo ameweka…
KOCHA Antonio Conte amedai kuwa sera ya usajili ya Tottenham inadhoofisha kikosi, huku akiweka wazi kuwa wachezaji waliowasajili wakati wa dirisha la Januari wamekwenda kukivuruga zaidi kikosi chao badala ya kukiboresha. Muitaliano huyo amedai kuwa timu yake sasa ina nafasi ya asilimia moja tu kumaliza top 4 katika Premier, Tottenham Katika usajili wa Januari, Spurs…
KLABU ya Yanga imepunguza bei ya jezi zake ili kuwapa nafasi mashabiki wake kununua jezi za timu yao kwa bei nafuu zaidi na kuongeza hamasa zaidi. Kauli hiyo imetolewa Februari 21, 2022 na Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara ambaye ameweka wazi kuwa malengo ya kufanya hivyo ni kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo na…
BIASHARA United ya Mara leo inatarajiwa kushuka Uwanja wa CCM Kirumba kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC ya Dar. Mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Uwanja wa Karume ila miundombinu ya Karume haijawa rafiki. Ikiwa inanolewa na Kocha Mkuu, Vivier Bahati imejikusanyia pointi 12 baada ya kucheza mechi 14. Inakutana na Azam FC yenye pointi…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne, lipo mezani.
DROO ya mechi za Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) hatua ya robo fainali imefanyika leo Februari 21. Jumla ya timu 8 zimeweza kushuhudua droo hiyo ambayo ilikuwa mubashara pia Azam TV. Mashabiki pia wameweza kufuatilia na sasa wanajua kwamba timu zao zitacheza na timu ipi baada ya kupenya kwenye hatua ya 16 bora….
UONGOZI wa Mtibwa Sugar, umebainisha kuwa, kikosi chao kipo tayari kuvunja rekodi ya Yanga ya kutopoteza mchezo hata mmoja kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Februari 23, mwaka huu ambapo Mtibwa watakuwa wenyeji wa Yanga kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro. Ikumbukwe kuwa, Mtibwa Sugar wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo kwa mabao 3-1 pamoja na kutolewa hatua ya…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison mtupiaji wa bao lililoipa timu hiyo pointi moja amesema kuwa kwake ni furaha kufanya hivyo kwa ajili ya timu. Ilikuwa jana Februari 20 Morrison akitokea benchi wakati Simba ikiwa ipo nyuma kwa bao 1-0 aliweza kuingia na kufunga bao. Morisson aliingia dakika ya 64 akichukua nafasi ya Yusuph Mhilu…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuna presha kubwa katika kusaka ushindi uwanjani ambao utawapa ubingwa kutokana na kila timu kupiga hesabu za kuifunga Yanga. Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 36 kibindoni baada ya kucheza mechi 14, ndani ya ligi hiyohawajapoteza mchezo msimu huu, huku Jumatano ijayo wakitarajiwa kupambana na Ruvu Shooting. Akizungumza na Spoti Xtra, Nabi alisema: “Presha inakuwa kubwa hasa timu inaposaka ushindi,…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
NGOMA iliyopigwa kiume katika hatua ya makundi imekamilika na kila timu kugawana pointi mojamoja. Alianza Wilfred Gbeuli dk 11 kumtungua Aishi Manula kutokana na makosa ya safu ya kiungo na ulinzi ya Simba kufanya makosa. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ilikwenda mapumziko ikiwa imetunguliwa bao moja na ilipiga shuti moja lililolenga lango kati…
UKURASA unaendelea kufunguliwa hasa katika anga za kimataifa ilikuwa ni baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas leo kwa mara nyingine tena kuna jambo litatokea baada ya dakika 90. Leo ni leo, wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Kimataifa, Simba wanatarajiwa kusaka pointi tatu mbele ya USGN ya Niger na tayari kikosi…
JOHN Bocco, Nahodha wa Simba, amesema hawatawaangusha Watanzania kwenye mashindano ya kimataifa kwa kuwa wapo vizuri na watapambana bila kuchoka. Simba ikiwa Kundi D la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, leo Jumapili inatarajiwa kutupa kete yake ya pili mbele ya US Gendarmerie, mechi ikichezwa nchini Niger “Tunajua kwamba mchezo utakuwa mgumu na kila timu inahitaji ushindi nasi tutapambana kushinda. “Kwa upande wa ushindi hata…