
SIMBA YATOA UJUMBE HUU KUHUSU LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Klabu ya Simba, umetoa onyo kali kuwa wapinzani wao wasifikiri ratiba ya mashindano ya kimataifa itawapotezea hesabu walizonazo kwenye Ligi Kuu Bara. Simba kwa sasa ipo bize na michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa Kundi D, ambapo wikiendi hii itacheza dhidi ya RS Berkane nchini Morocco. Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara,…