
BARCELONA YATEMBEZA 4G
USIKU wa kuamkia leo Barcelona imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Athletic Club. Mabao ya Pierre Aubameyang dk 37,Ousmane Dembele dk 73, Luuk de Jong dk 90 na Memphis Depay dk 90+3 yalitosha kuipa pointi tatu Barcelona. Ilikuwa ni katika Uwanja wa Camp Nou mambo yote hayo yamefanyika. Inakuwa na pointi 45 baada…